FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kwenye press mara nyingi yeye ndio muongeaji
MI nilidhani wanaongeaga kulingana na game
kama wkiwaga ugenini wanapozungumza kingereza nikajua ndo anaongeaga MUSONDA yani nilidhani kuna namna kama itifaki fulani
 
sawa mkuu..ni wakati wenu huu munahaki ya kufurahi.
Vifuatavyo ni vichaka vyenu mlivyokuwa mnavitumia kujificha;

1. Wa kimataifa.. werewerewerewerewerewereeeeee..fyuuuuu..!! Kimefyekwa. Wa kimataifa imekufa kifo cha barafu juani.

2. Wa robo fainali.... werewerewerewerewerewereeeeee..fyuuuuu..!! Kimefyekwa. Wa robo fainali, jana imekufa kifo cha barafu juani.

3. Wa ligi ya mabingwa... werewerewerewerewerewereeeeee..fyuuuuu..!! Kimefyekwa. Wa ligi ya mabingwa imekufa kifo cha barafu juani.

HUWEZI MTAMBIA MTU KWA KITU AMBACHO NA YEYE ANACHO
 
sasa mbona nyie munatamba kwa vitu ambavyo sisi makolo tumevifanya miaka mingi.
 
Haha hongereni mtani wangu mstaarabu, wewe na Charles kilian ndio mashabiki pekee wa Yanga mnaojielewa humu JF, wengine wote ni vibwengo tu [emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Ahsante Mtani.
Hatimaye tumevuka malengo tuliyojiwekea ya kuishia makundi.

Ila yote kwa yote nyie ndo mlikuwa chachu ya kutufanya tupambanie kuionja hiyo robo mnayojivuniaga nayo. πŸ˜€
 
Kojoa ukalale
 
Wale safari imeisha, sisi na majini yetu tumesonga mbele.

Nilipata za ndani kuwa Simba wanataka kumchukua msimu ujao, tujiandae.
Aah mkuu Simba hawana pesa za kumlipa ule mshahara, million 100 tu kwa manzoki walichemka [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…