Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
binafsi sijaelewa. Kwa mfano: hiyo bulizodad akija kushinda kwenye mechi ya mwisho goli tano bila, na Yanga akafungwa. nafasi ya pili kwenye kundi itakuwa timu ganiYaaani ingetokea tungefungwa moja basi tungepata wakati mgumu kufuzu tungelazimika kutafuta sare ingawa game ya mwisho ingekuwa ni ngumu wale waaarabu wangeteteana figisu zingemuwa nyingi ila Ahsante mungu mabeki waliliona hili na kuongeza umakini wasipate goli
Haliwezekani!!![emoji23]Kinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Kanuni zinatamka kuwa, kama timu zimelingana points, kipengere cha kwanza wanachoangalia ni H2H (head to head) nano mshindi mlipokutana. H2H Yanga ana magoli mengi zaidi ya Belouizdad 4vs3. Lakini kama ingekuwa magoli yao pia yanalingana yaani 3vs3 ndio wangeenda kwenye general Goal difference ya mechi zote sasa.binafsi sijaelewa. Kwa mfano: hiyo bulizodad akija kushinda kwenye mechi ya mwisho goli tano bila, na Yanga akafungwa. nafasi ya pili kwenye kundi itakuwa timu gani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa. Ahsante Mtani.
Hatimaye tumevuka malengo tuliyojiwekea ya kuishia makundi.
Ila yote kwa yote nyie ndo mlikuwa chachu ya kutufanya tupambanie kuionja hiyo robo mnayojivuniaga nayo. [emoji3]
asante mkuu. nimeelewaKanuni zinatamka kuwa, kama timu zimelingana points, kipengere cha kwanza wanachoangalia ni H2H (head to head) nano mshindi mlipokutana. H2H Yanga ana magoli mengi zaidi ya Belouizdad 4vs3. Lakini kama ingekuwa magoli yao pia yanalingana yaani 3vs3 ndio wangeenda kwenye general Goal difference ya mechi zote sasa.
Ila kipengere cha kwanza ni H2H
Amka kakojoeNimeota kuwa watatoka sare 1-1 na hivyo Yanga kutolewa kwenye mashindano haya. CRB wataanza kufunga kipindi cha kwanza, na Yanga itarudisha katika kipindi cha pili.
Ni ndoto tu!
Hilo buku kanywe ulanziMkishinda hii mechi ya waarabu mje mniombe buku nimekaa paleeee
Yaani mnakandwa kwa Lupaso na mnasugulia Misri
Unasema? Madako yako π€£π€£π€£Utopolo haina uwezo wa kumfunga Belouizdad
Bado dau lipo?Kama unajiamini Weka dau kwa ushindi wowote. Moderator wasimamie show
Kama ulijua π€£π€£π€£Kaka hii ni Jioni ya Leo baada ya ushindi wa goli nne dhidi ya belouizdad πππ€£π€£
Rate ndogo ndiyo imetiki π€£π€£π€£Rate ya game za Yanga kuvuka hatua ya makundi
Yanga apate ushindi wowote 7/10
Then akatoe sare Cairo 2/10
Au ashinde ushindi wa goli 4 bila dhidi ya Cr Belarouzidad 3/10
Mechi kuisha sare 6/10
Mechi kuisha Yanga kufungwa 5/10
Achana na mpira jikite zaidi na kambi yako ya fisi"Leo Yanga tupo na kibonde wa uarabuni tutampiga nje ndani......."
Alisikika mbaba mmoja aliyepaka bleach akitamba pale river side ππ
Tena haswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi umedoda [emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyotee kamaanisha.Shoga ukimaanisha rafikiyako au ukimaanisha yeye ni shoga?
Thubutuuu,Huu moto wanaonyesha sahiv ni mkubwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiNikimaanisha rafiki yangu, shoga yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo mbona mbwembwe sanaa, ndo kwanzaa mko mlangoni, hata vyumbani bado.Mamelodi ni 5imba aliyechangamka tu..!! Analiwa kama amesimama
Hivi hujui kuwa kambi ya fisi iliokoa mwanadamu aliyepagawa na mapepo pale kwa Mkapa?Achana na mpira jikite zaidi na kambi yako ya fisi
Jamani hiyo imeshaisha! Yanga robo fainali hiyo hapo! Mechi ya mwisho ni kukamilisha ratiba tu! Kinachoangaliwa mkifungana point huwa ni head to head! Wataalam wa soka nao wajanja maana ingekuwa huru hivyo watu wangekuwa wananunua. Kwa mfano CR Belouizdad ingemnunua Madeama ili wamtungue goli 7, sasa ili kumdhibiti hilo ndiyo maana huwa wanaangalia nyie mlipokutana matokeo yalikuwaje? Jana jamaa angepata kagoli kamoja tu angetutoa! Tungelazimika kwenda kushinda mechi ya mwisho!binafsi sijaelewa. Kwa mfano: hiyo bulizodad akija kushinda kwenye mechi ya mwisho goli tano bila, na Yanga akafungwa. nafasi ya pili kwenye kundi itakuwa timu gani