FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Yaaani ingetokea tungefungwa moja basi tungepata wakati mgumu kufuzu tungelazimika kutafuta sare ingawa game ya mwisho ingekuwa ni ngumu wale waaarabu wangeteteana figisu zingemuwa nyingi ila Ahsante mungu mabeki waliliona hili na kuongeza umakini wasipate goli
binafsi sijaelewa. Kwa mfano: hiyo bulizodad akija kushinda kwenye mechi ya mwisho goli tano bila, na Yanga akafungwa. nafasi ya pili kwenye kundi itakuwa timu gani
 
binafsi sijaelewa. Kwa mfano: hiyo bulizodad akija kushinda kwenye mechi ya mwisho goli tano bila, na Yanga akafungwa. nafasi ya pili kwenye kundi itakuwa timu gani
Kanuni zinatamka kuwa, kama timu zimelingana points, kipengere cha kwanza wanachoangalia ni H2H (head to head) nano mshindi mlipokutana. H2H Yanga ana magoli mengi zaidi ya Belouizdad 4vs3. Lakini kama ingekuwa magoli yao pia yanalingana yaani 3vs3 ndio wangeenda kwenye general Goal difference ya mechi zote sasa.

Ila kipengere cha kwanza ni H2H
 
Hahahaaa. Ahsante Mtani.
Hatimaye tumevuka malengo tuliyojiwekea ya kuishia makundi.

Ila yote kwa yote nyie ndo mlikuwa chachu ya kutufanya tupambanie kuionja hiyo robo mnayojivuniaga nayo. [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibuni kwenye kombe letu la robo fainali tuliloridhika nalo wenyewe, kwa wachezaji mlionao mkikaza fainali ile pale, sisi tuendelee kuhangaika na maveteran wetu
 
Kanuni zinatamka kuwa, kama timu zimelingana points, kipengere cha kwanza wanachoangalia ni H2H (head to head) nano mshindi mlipokutana. H2H Yanga ana magoli mengi zaidi ya Belouizdad 4vs3. Lakini kama ingekuwa magoli yao pia yanalingana yaani 3vs3 ndio wangeenda kwenye general Goal difference ya mechi zote sasa.

Ila kipengere cha kwanza ni H2H
asante mkuu. nimeelewa
 
Uzi umedoda [emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Tena haswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
binafsi sijaelewa. Kwa mfano: hiyo bulizodad akija kushinda kwenye mechi ya mwisho goli tano bila, na Yanga akafungwa. nafasi ya pili kwenye kundi itakuwa timu gani
Jamani hiyo imeshaisha! Yanga robo fainali hiyo hapo! Mechi ya mwisho ni kukamilisha ratiba tu! Kinachoangaliwa mkifungana point huwa ni head to head! Wataalam wa soka nao wajanja maana ingekuwa huru hivyo watu wangekuwa wananunua. Kwa mfano CR Belouizdad ingemnunua Madeama ili wamtungue goli 7, sasa ili kumdhibiti hilo ndiyo maana huwa wanaangalia nyie mlipokutana matokeo yalikuwaje? Jana jamaa angepata kagoli kamoja tu angetutoa! Tungelazimika kwenda kushinda mechi ya mwisho!
 
Back
Top Bottom