FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Tupate wadhamini kidogo
20240223_090400.jpg
 
Kinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Ndio maana Rage anaheshimiwa kila siku ,kwa fikra hizi mtaitwa Madunduka kila siku.
 
Back
Top Bottom