Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hiki kikosi kasoro Nondo ndiyo kileeeeee 5G. Ebu tusubiri tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 😂😂😂😂😂 bila shaka tunaweza kufufua uzi wa Muhasibu Leo ,time will tellTupate wadhamini kidogoView attachment 2914987
Ngoja mechi ifike mwisho chief..Kinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Kabisa Mtani.Mwanzo mzuri...
Huyu jamaa sijui kama atabaki msimu ujao..Zidane wa bongoView attachment 2914988
Tulia mtaniii, mpira bado haujaishaa.[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya goli wanaleta poroojo nyiiingi.
Ataenda PSG?Huyu jamaa sijui kama atabaki msimu ujao..
Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindiMkuu. Yanga anaweza shinda mechi zake. Usiwadharau sana. Wana motisha.
Aliewakalilisha hili ni nani aisee.Kinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
We unavyoona kati ya hii mechi na mechi ya mwisho ipi ambayo ni rahisi kushinda?Wewe kumbe hamnazo eeeh sasa ili Yanga afuzu si inatakiwa ishinde kwanza hii mechi
Kama ndio mpira basi hata hivyo vyanzo vinaweza kushangazwa vile vile.Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindi
Sidhani kama hizo taasisi zimetoa takwimu kwa kuidharau Yanga.
Na kingine hii mechi yenyewe bado haijaisha, inawezekana baadaye tukawa na maongezi mengine.
Ndio mpira ulivyo.
Wakiwa na point sawa wanaangalia H2H. Kwani hujui hili?Aliewakalilisha hili ni nani aisee.
Mpaka half time yanga na hao Cr wapo sawa magoli wote ni +1, game ikiisha hivi bado yanga ana nafasi tu, kwahiyo umeconclude kua mediama atakandwa zaidi ya goli 1 na pia yanga atakandwa nyingi na Ahly??
Acheni mambo ya matokeo mkononi shauri yenu.
Mkijisahau mkawa mnakimbiza mwizi wakati makwenu hamjafunga milango mnaweza kupata damage itayokuja kuwa costKipindi Cha pili lomalisa akitoka ,akaingia okrah magic,na musonda akitoka akaingia guede ,ball litanoga zaidi,Hawa jamaa inatakiwa kuwapiga kama tatu,kujipa huakika wa kushinda
Sasa hapa ndio ile kauli ya maajabu ya soka.Kama ndio mpira basi hata hivyo vyanzo vinaweza kushangazwa vile vile.
Sasa pont sawa, magoli ya kufunga na kufungwa ni sawa??Wakiwa na point sawa wanaangalia H2H. Kwani hujui hili?