FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Mtanange huu wa Yanga SC na CR Belouizdad unaletwa kwenu kwa udhamini wa
hqdefault.jpg
 
Mkuu. Yanga anaweza shinda mechi zake. Usiwadharau sana. Wana motisha.
Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindi

Sidhani kama hizo taasisi zimetoa takwimu kwa kuidharau Yanga.

Na kingine hii mechi yenyewe bado haijaisha, inawezekana baadaye tukawa na maongezi mengine.

Ndio mpira ulivyo.
 
Kinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Aliewakalilisha hili ni nani aisee.

Mpaka half time yanga na hao Cr wapo sawa magoli wote ni +1, game ikiisha hivi bado yanga ana nafasi tu, kwahiyo umeconclude kua mediama atakandwa zaidi ya goli 1 na pia yanga atakandwa nyingi na Ahly??

Acheni mambo ya matokeo mkononi shauri yenu.
 
Wewe kumbe hamnazo eeeh sasa ili Yanga afuzu si inatakiwa ishinde kwanza hii mechi
We unavyoona kati ya hii mechi na mechi ya mwisho ipi ambayo ni rahisi kushinda?
 
Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindi

Sidhani kama hizo taasisi zimetoa takwimu kwa kuidharau Yanga.

Na kingine hii mechi yenyewe bado haijaisha, inawezekana baadaye tukawa na maongezi mengine.

Ndio mpira ulivyo.
Kama ndio mpira basi hata hivyo vyanzo vinaweza kushangazwa vile vile.
 
Aliewakalilisha hili ni nani aisee.

Mpaka half time yanga na hao Cr wapo sawa magoli wote ni +1, game ikiisha hivi bado yanga ana nafasi tu, kwahiyo umeconclude kua mediama atakandwa zaidi ya goli 1 na pia yanga atakandwa nyingi na Ahly??

Acheni mambo ya matokeo mkononi shauri yenu.
Wakiwa na point sawa wanaangalia H2H. Kwani hujui hili?
 
Kipindi Cha pili lomalisa akitoka ,akaingia okrah magic,na musonda akitoka akaingia guede ,ball litanoga zaidi,Hawa jamaa inatakiwa kuwapiga kama tatu,kujipa huakika wa kushinda
Mkijisahau mkawa mnakimbiza mwizi wakati makwenu hamjafunga milango mnaweza kupata damage itayokuja kuwa cost
 
Back
Top Bottom