FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Hongera sana kwa viongozi wa Yanga, benchi la ufundi na wachezaji.
Upande wa mashabiki, kwa ukubwa wa Yanga kwa kweli inatia aibu sana. Mashabiki wa Yanga wengi wamekuwa na kelele mitandaoni na mitaani, lakini kwenye mahudhurio vieanjani hakuna kitu kabisa.
Sitashangaa kama yale mahudhurio ya jana, nusu walikuwa ni mashabiki wa Yanga na nusu ni mashabiki wa Simba.
Mahudhurio ya jana hayana tofauti na mahudhurio ya mechi kati ya TP Mazembe na waarabu iliyofanyika Benjamin Mkapa. Yaani wenyeji tena timu kubwa kama yanya inashindana na wageni waliojamishia mechi yao nchini.
Mashabiki wa Yanga badilikeni muanze kuhudhuria viwanjani. Mnawacheka Simba kuzindua Whatsaap group wakati wenzenu kupitia hiyo ndiyo wanajenga mtandao wa kuhamasishana
 
Back
Top Bottom