kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Kweli kabxa itakuwa aibu sana kufungwa tena na utopolo, japo simba ikiingia kwa kutaka kupishana na yanga basi simba lazme atakufa nyingi.Kwani tar 19 mbali? Kwa hii timu inayocheza hovyo? Hatuwezi kufungwa zamu hii na wasubiri penshen
Hutaki peleka malalamiko TFFHuu ni uonevu.... Kadi nyekundu na tuta zote dhidi ya Pamba
Musonda anajua kukimbia tu hajui kucheza kama timuHii game ina muhitaji Pacome zaidi ya Musonda
Uko wapi faraja.....Suluhu ya kwanza kwa Uto
Sawa hii risiti nimesevu hapaKwani tar 19 mbali? Kwa hii timu inayocheza hovyo? Hatuwezi kufungwa zamu hii na wasubiri penshen
Akijibu nitagUko wapi faraja.....
📨📨📨Uko wapi faraja.....
Bado mlichompa hajafanyia kazi vizuriRefa maliza mpira nkampikie shemeji ako, ana njaa......
Hii sio tubebe fcBado mlichompa hajafanyia kazi vizuri