FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Leo wanaibuka wazee wa gsm kuharibu ligi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mchezaji kafanyiwa faulo nje ya box lakini kayumba yumba mpaka kaangukia kwenye box

Na refa kwa sababu ni sehemu ya script wala hata hakutaka kujiuliza mara mbili
Leta timu yako mwanetu 😎
 
Nyiingi hapa Watakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…