FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Leo wanaibuka wazee wa gsm kuharibu ligi 😀😀😀
 
Mchezaji kafanyiwa faulo nje ya box lakini kayumba yumba mpaka kaangukia kwenye box

Na refa kwa sababu ni sehemu ya script wala hata hakutaka kujiuliza mara mbili
Leta timu yako mwanetu 😎
 
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC
📆 03.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 6:30PM(EAT)


View attachment 3113734
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
View attachment 3114306
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal Baccaaaaaaaaaaa

Dakika 7
Tunashambulia kwa kasi

Dakika ya 12
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 14
Tunapata Kona tena

Dakika ya 18
Boca anaoneshwa kadi ya njani Aziz k anapiga Free Kick

Dakika ya 24
Mzize anashambulia kwa kasi tunapata Kona hapa

Dakika ya 33
Yng 1 -0 Pmb

Dakika ya 38
Sureboy anacheza madhambi hapa

Dakika ya 41
Aziz k anakosa goli la wazi

Dakika 44
Pmb wanapewa kadi nyekundu

Dakika ya 45+2
Master KIIIIII⚽️

𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄
View attachment 3114402
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 48
Yanga SC wanashambulia kwa kasi

Dakika ya 52 na 53
Yanga SC wanapata kona pacha hapa

Dakika ya 54
Nzengeli chuma cha tatu

Dakika ya 58
Mzize anakosa goli la wazi

Dakika ya 60
Yanga SC wanakosa goli la wazi

Dakika ya 78
Yng 3-0 pmb

Dakika ya 81
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 84
Musondaaaa chuma ya 4
Nyiingi hapa Watakufa
 
Back
Top Bottom