FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Jezi ya pamba watakayo vaa leo zingatia hapo kwenye mdhamin mimi ni Yanga ila hili swala sipendezwi nalo
Nb
Game itakua ya upande mmoja na makosa ya kibinadamu kwa baadhi ya wachezaji yatakua mengi
 
Umeelezea vizuri sana yaani ndio hali halisi iliyopo juu ya Yanga kwa timu zote za ligi kuu kwa sasa.
 
Ni viongozi wa pamba wamesema wanajiweka pembeni sababu wao ni mashabiki wa yanga....hili halihitaji 'D ' mbili.
Mashabiki wa Yanga huwa ni Toto Mashabiki wa Simba ndio huwa Pamba..., Nadhani Yanga wanaukumbuka mzimu wa Fumo Felician alikuwa anawauwa sana Yanga alivyokuwa Pamba hadi wakamnunua kupunguza Kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…