FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko ya lazima pale mbele. Yaani mpaka muda huu bado tunaongoza kwa kagoli kamoja tu dhidi ya timu dhaifu kama hii!!!
 
Mbona jana hukuandika gazeti refu kama hili? Ulivyofurahia jana kwa penati nyepesi na kurudiwa mara mbili mbili ili kufungua score board ndio na leo wana Yanga wanavyofurahia. Jifunze kujizuia na makasiriko.
Mi sikuangalia mechi ya jana umenifananisha
 
Back
Top Bottom