FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Bado mojaa..bado mojaa 🎷🎺🎹🎤🎹bado moojaa..🎷🎺🎤🎺🎺🎹
 
Mtibwa Sugar, muombeni mwamuzi amalize mchezo. Msipokuwa makini na nyinyi mtaingia kwenye ile rekodi ya ✋

Kama mpaka akina Skudu wanatupia, maana yake kazi mnayo leo. Lilikuwa ni suala tu la muda kuingia kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom