Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Aziz Kii ni mchezaji anayeweza kung'ara kwenye mechi yoyote ile iwapo tu ataachwa afanye anavyotaka.Kwenye hizi mechi Aziz k huwa anang’ara sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aziz Kii ni mchezaji anayeweza kung'ara kwenye mechi yoyote ile iwapo tu ataachwa afanye anavyotaka.Kwenye hizi mechi Aziz k huwa anang’ara sana.
Tayari.Wamelala wataedit hata kesho
Zote anacheza vizuri hata za kimataifa labda kama hujui mpiraKwenye hizi mechi Aziz k huwa anang’ara sana.
Juma tano siyo mbaliAziz Kii ni mchezaji anayeweza kung'ara kwenye mechi yoyote ile iwapo tu ataachwa afanye anavyotaka.
Goli la kikatili kutoka kwa Musonda. Teh
Naona mmetoka
Ndio uwezo wao huo Mkuu usiwalaumu.Mabeki wa Mtibwa wasengezi Sana wanamwachaje musonda anapiga mpira bila kuzongwa
Wamesusa.Modes siku hizi wanalala yoh!
1 to go dear..!Bado ngapi tufikishe goli zetu tunazowafungaga timu dhaifu?
Semeni wenyewe.