FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Hawa straiker wa Jamhuri wamelala
 
Yanga wameacha kucheza Mpira.

Speed imekuwa ndogo sana
 
Tunapowaambia hawa wazanzibari Mapinduzi Cup sio mashindano ya kupeleka Simba na Yanga wajaribu kuelewa, Ona sasa! Hicho ni kikosi B lakini hali ni hivyo! Angekuwepo Max Aziz na Pacome ingekuwaje?
Wangekamiwa na wasingefanya kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…