FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Wewe na Labani og ndo malimbukeeeeniii mpka mnaboa...nampenda mtani wangu Tate Mkuu hana huu ushamba ..au atanikana? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Huyo naye ni wale wale tu itakuwa hujawahi kuzifuma comments zake mbaya kuhusu Simba, shabiki pekee wa yanga anayejielewa humu jf ni Charles kilian tu, wengine wote ni Vibwengo tu [emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna Kamati iliyoamua hivyo, ni watu walitoa maoni yao tu
 
Afande Muliro,afande Msangi na afande mkuu wa kituo cha polisi chang'ombe bila shaka wamefurahi sana!! Hawa wakuu hata yanga iwe inacheza kombe la mbuzi wako tiyali kumfanyia hujuma yeyote ili mradi yanga ipate matokeo.
Muliro najua ni Uto lia lia...
 
Hata waanzishe ligi yao 🀣🀣🀣🀣🀣
β—‰ Yanga 5 - 0 KMC
β—‰ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania
β—‰ Yanga 5 - 1 ASAS πŸ‡©πŸ‡―
β—‰ Yanga 5 - 1 Simba SC
β—‰ Yanga 5 - 0 Jamhuri
β—‰ Yanga 5 - 1 Hausing Fc
β—‰ Yanga 5 - 0 Polisi Tanzania
 
Acheni wivu Yanga uwezo wa kulea watoto anao so msiwe na presha wote mtapata haki sawa..Kama ni 5g mtapata wote sio bi mdogo wala mkubwa wote mtapata kwa usawa kabisa pasipo upendeleo.
 
Jana nilikuwa naangalia mpira na maaskari kama nane hivi, cha ajabu walikuwa wanaishangilia Yanga badala ya kuishangilia timu yao ya Polisi, kweli Yanga ni timu ya wananchi whether u like it or not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…