EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
naona kaanza vizur yaan kaanza chini anaend juu sio Max alianza Juuu anaelekea uko chinHuyu Inye Gwede Gwede ni mtu na nusu, movement zake ni world class, anapiga vichwa kama vile ametumia miguu, kitaalam tunaita vichwa mashuti