FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

tobo Mshery!
Hata kama sio Goli lakini limeingia
 
Ndio muwafunge Waarabu kwa mpira huu?
Sahau
 
Inye gwede gwede hatimaye ametoka. Niwakumbushe tu kuwa paka sasa mgoli ya Gwede = magoli ya fred + ayub+jobe + mzamiru + boco
 
Mshika kibendera kakoromewa na mchezaji wa polisi kabadilisha maamuzi ya kuipa Yanga Fc kona.
 
Ni wakati sasa kumnyanganya Mayele majini yetu na kisha tumpe Mzize maana sio kwa kukosa nafasi hizi za wazi
 
Huyu Skudu ni mtumishi hewa, yeye pamoja na Metacha ni wachezaji wa kucheza simba maana ndio timu yenye wachezaj wabovu kama wao
 
Back
Top Bottom