FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Uto wanachezaje?
mbona kama wamechoka sana
 
Mnamwona Skudu?
heavyless...

Police wanafanya sub ya kipa...
 
Okra hadi abostiwe ndio akimbie
 
Okra πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kinda of Warthog πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Huyu mnyama huwa anatoka nduki bila kujua anakoenda.
Au anaweza kukimbia na gafla akasahau anamkimbia nani....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Warthog...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…