FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Pole, Kolo. Ulipanga Yanga ateseke mzunguko wa pili, kila unachokiona unadhani mazingaombwe. Ulidhani utashinda wewe kila siku?

Hahaa na tutakutana na wewe na huambui kitu vilevile.
Record zenu zitabaki ni ubingwa wa historia zilizopitwa na wakati
 
79' Mayele anatengeneza nafasi lakini wenzake wanashindwa kuitendea haki
yule kashindwa kuitumia pass nzuri ya Mayele. Faisal Salum anazidi kushuka kiwango. Leo hajaitendea haki mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…