FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Kubali tu na huko nako ni kujipendekeza. Maana kuna Wizara ya Maliasili na Utalii, na ambayo inafanya kazi nzuri tu ya kuvutia hao watalii.

Hivyo impact yenu kwenye kuvutia watalii kupitia hicho ki logo chenu cha visit Tanzania, naweza kusema ni 0 tu mpaka sasa.
Sio kujipendekeza ofsa

Hapo simba ilipaswa kulipwa kwa kazi nzito ila kwa mapenzi ya nchi yake ameamua kufanya for free

Watalii wengi wa miaka ya hivi karibuni wamekua attracted na Simba
 
Sio kujipendekeza ofsa

Hapo simba ilipaswa kulipwa kwa kazi nzito ila kwa mapenzi ya nchi yake ameamua kufanya for free

Watalii wengi wa miaka ya hivi karibuni wamekua attracted na Simba

Hivi kama kuna kazi nzito na inayo stahili malipo, halafu from nowhere ukajiamulia tu mwenyewe kuifanya for free! si ndiyo kujipendekeza kwenyewe huko sasa!
 
Back
Top Bottom