Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
FT TUTAFUNGWAYoung Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.
Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.
Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.
2-1/3-1/3-2
ALL NNALL.TUFUNGWE LAKINI PESA YA MAMA SAMIA AIKWEPEKI LAZIMA TUILEEEEEEE HATA KWA GOLI MOJAA+