FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.

Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.

Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.
Yanga 1 TP Mazembe 2
 
Kikosi cha Yanga dhidi ya TP Mazembe
IMG_20230219_181338.jpg
 
Huu Uzi mbona hautembei kama WA wale vifafa wengine WA Jana mana Leo kuna vifafa vingine vinapigwa hapa
 
Back
Top Bottom