changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mechi iliyopita katoa boko kwa kumpanga Kibwana na kumuacha Lomalisa na kupanga Kisinda wake Mechi ya leo tena anafanya kosa lile la kuchagua wachezaji. Mwamnyeto hapotihani, Sure boy na Aziz Ki walikuwa wanaumuhimu kuanzaNabi ana masiala yaani Sureboy na Aziz K wameanzia nje daah. Haya ngoja tuone.