FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Kishabiki unaweza ukasema unashinda goli 10 ili kuji comfort tu

Kibiashara huwezi ukaweka rehani pesa yako kwa utabiri wa goli 10 kwasababu ni too risk

Hiyo prediction yako ni kishabiki au kibiashara?
Pole kwa yaliyo wakuta juzi kati ulikua una bwabwaja kwamba kwenye kupigwa gwara msha toka umeona jana? Nyie ni wa kawaida sana ila jeuri na kiburi tu
 
Kwa kweli jana walipigwa na kitu kizito kisogoni. Kuna shabiki mmoja kwa jina la Kalpana, ilifikia wakati alikuwa anatuma tu ujumbe wa aina moja
Raja Casablanca 6 Yanga 0!! 😃
Raja Casablanca 6 Yanga 0!!

Mechi walikuwa wanacheza simba na Raja Casablanca, yeye akajikuta amepoteza kabisa network kichwani! Kufungwa kunauma aisee! 😃
Yule certified popoma ndio kaamka saa hz
 
Kwa kweli jana walipigwa na kitu kizito kisogoni. Kuna shabiki mmoja kwa jina la Kalpana, ilifikia wakati alikuwa anatuma tu ujumbe wa aina moja
Raja Casablanca 6 Yanga 0!! 😃
Raja Casablanca 6 Yanga 0!!

Mechi walikuwa wanacheza simba na Raja Casablanca, yeye akajikuta amepoteza kabisa network kichwani! Kufungwa kunauma aisee! 😃
Hahahahaaa. Hapana chezea tatu mzuka. Teh teh.
 
Pole kwa yaliyo wakuta juzi kati ulikua una bwabwaja kwamba kwenye kupigwa gwara msha toka umeona jana? Nyie ni wa kawaida sana ila jeuri na kiburi tu
Pole kwa yaliyo wakuta juzi kati ulikua una bwabwaja kwamba kwenye kupigwa gwara msha toka umeona jana? Nyie ni wa kawaida sana ila jeuri na kiburi tu
Umesahau na uchawi
Mara wawashe moto
Mara waingie kinyumenyume
Sasa Jana wakaingia kinyumenyume kwenye nyumba ya popobawa, kilichowapata wanakijua.
 
Kwa kweli jana walipigwa na kitu kizito kisogoni. Kuna shabiki mmoja kwa jina la Kalpana, ilifikia wakati alikuwa anatuma tu ujumbe wa aina moja
Raja Casablanca 6 Yanga 0!! [emoji2]
Raja Casablanca 6 Yanga 0!!

Mechi walikuwa wanacheza simba na Raja Casablanca, yeye akajikuta amepoteza kabisa network kichwani! Kufungwa kunauma aisee! [emoji2]
Kumbe uliona mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashabiki wa simba wengi wanajiamini sana,wale wa kubet sasa wanajua kujilipua kwenye timu yao ndo maana wanaumia mara mbili mbili ila mashabiki wa Yanga wanaipenda timu yao ila wamekaa kimachale hasa wa kubeti wengi timu ikicheza na timu ya nje huwa wanaiua. Hivyo hata wakifungwa mfukoni wanakua wamejaaa

Natabiri hapa wengi wameiua Yanga hivyo ikishinda shangwe halitakua kubwa kivilee,maisha haya😂😂😂😂

Yanga tupe heshima,Mayele ile mil 5 usiiachie.
 
Back
Top Bottom