FT TUTAFUNGWAYoung Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.
Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.
Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.
Yangaa ya manyoniiFull time
Yanga 3 : Tp Mazembe 1
Yanga 2 : Tp Mazembe 1
Mpira utakuwa na presha kubwa, kadi nyingi za njano pande zote, malumbano ya hapa na pale.
Mbona nasikia kuku alidonoa mahindi 5 kwenye bakuli lililoandikwa Tp Mazembe?Young Africans 2-0 Tp Mazembe.
Fiston Mayele
Azeez ki.
Save the comment[emoji12].
Sent using Jamii Forums mobile app
Kishabiki unaweza ukasema unashinda goli 10 ili kuji comfort tuFull time
Yanga 3 : Tp Mazembe 1
Yanga 2 : Tp Mazembe 1
Mpira utakuwa na presha kubwa, kadi nyingi za njano pande zote, malumbano ya hapa na pale.
Afadhali umefanya la maana ili wasije kusema hujawaambia Mkuu. 🤣Huyu Hapa Nawaambieni Mapemaa, Leo Ni Huyu Bhn [emoji23]View attachment 2522964
Tupo tumejaa tele. Sema tu mashabiki wa Yanga hatuna mambo mengi. Sisi ni watu wa maneno, kidogo! Halafu vitendo ndiyo vinafanya kazi.
Muongeze na yule mwenye PhD ya heshima ya kushabikia Utopolo
Yanga hakuna watu kwenye kaswende ya Ubongo.Muongeze na yule mwenye PhD ya heshima ya kushabikia Utopolo
Kwa kweli jana walipigwa na kitu kizito kisogoni. Kuna shabiki mmoja kwa jina la Kalpana, ilifikia wakati alikuwa anatuma tu ujumbe wa aina mojaIla goli tatu zinaumiza bana.
Wale waanzisha uzi maarufu za game za Timu ya Wananchi leo hamu imewatoka kabisa yaaani. Teh teh.
#HapanachezeaTatumzuka. Teh teh.