Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yanga inampuna hadi mama yao mdogo.Yanga timu ya Taifa, hakuna ubishi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga inampuna hadi mama yao mdogo.Yanga timu ya Taifa, hakuna ubishi tena
Ha ha ngoja tusubiri kibonzo cha Haji kwenda Simba leo baada ya mechi..Yanga inampuna hadi mama yao mdogo.
[emoji1623]TP Mazembe wamekuja kivingine
Na huyu msemaji wetu aache propaganda zisizo na maslahi kwa timu. Mara nyingi tu nimemsikia akifanya propaganda ambazo hazina uhalisia na si Afya kwa timu.Ni kweli, kujifunza ni muhimu tumechagua watu wa propaganda zaidi kuliko watu wa mpira....just imagine mwenyekiti agenda yake ni kuifunga yanga si ujinga huo
Ulijua leo itashinda?Hivi mnajua pamoja na Yanga kushinda hii hatafuzu next stage
Bado mpira 2-0 mpira bado haujaishaTimu zote za shirikisho ni vibonde
Umemmiss bwana BIGWee bwan molel Muda was kubishana huku unatoa wapi kamalize Kwanza ile story yako kule Kisha uje huku
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Simba ndio itavuka next stage paka finalHivi mnajua pamoja na Yanga kushinda hii hatafuzu next stage
Bado 2-0 gemu bado mbiiiichi...Hivi mnajua pamoja na Yanga kushinda hii hatafuzu next stage
Et unasemaaaaaa[emoji1564]Hivi mnajua pamoja na Yanga kushinda hii hatafuzu next stage
Kubeti kwa namna hii ni UPUNGUANI.Uwiiii kuna jamaa wa Simba pale Tabata Bima kabet akiwa bar jana, eti Yanga ikishinda leo atampa Mke wake Jay Jay shabiki wa Yanga, leo Jay Jay anaenda kumla mke wa shabiki wa Simba aiseee
Jamani msibeti hadi wake zenu, mpira mchezo hatari sana.. 🇨🇨🇨🇨🇨🇨💚💚💛💛💛