FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Ni kweli, kujifunza ni muhimu tumechagua watu wa propaganda zaidi kuliko watu wa mpira....just imagine mwenyekiti agenda yake ni kuifunga yanga si ujinga huo
Na huyu msemaji wetu aache propaganda zisizo na maslahi kwa timu. Mara nyingi tu nimemsikia akifanya propaganda ambazo hazina uhalisia na si Afya kwa timu.
 
Uwiiii kuna jamaa wa Simba pale Tabata Bima kabet akiwa bar jana, eti Yanga ikishinda leo atampa Mke wake Jay Jay shabiki wa Yanga, leo Jay Jay anaenda kumla mke wa shabiki wa Simba aiseee

Jamani msibeti hadi wake zenu, mpira mchezo hatari sana.. 🇨🇨🇨🇨🇨🇨💚💚💛💛💛
Kubeti kwa namna hii ni UPUNGUANI.
 
Back
Top Bottom