FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Ni kweli Yanga wanaimarika kila siku na wamesajili vizuri.

Unajua sisi Simba tulikuwa na tatizo ambalo lilitufanya tukasahau kuwapa pressure ya usajili viongozi.

1. Propaganda za usajili wa majina makubwa

2. Kufunga goli nyingi mechi zisizo na umuhimu.
Ni kweli, kujifunza ni muhimu tumechagua watu wa propaganda zaidi kuliko watu wa mpira....just imagine mwenyekiti agenda yake ni kuifunga yanga si ujinga huo
 
Alafu mke wa Shabiki wa Simba nae jana yuko pale bar kavaa jezi ya Simba anasema yuko tayari, akiaamini Yanga haiwezi funga TP Mazembe, alafu saa hz wako bar hii hii wanasubiria mpira uishe... Ah ha haaaa nyiee

Watu wanashabikia mke wa jamaa kuliwa leo, hii imekaaje jamani ha haa
Mwambie aje upande wa pili nimtoroshe[emoji3]
 
Back
Top Bottom