Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Hongereni watani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema kufanya vizuri sio kushinda kila siku.Ushinde kila siku wewe nani?
Tunashukuru sana.Hongereni watani.
Sijapendsaaaaa kabisa Yani[emoji41]Hapa ndiyo ujinga wa Nabi, kisinda ni kibu wa Yanga. Farid unaye unaingiza Kibu
Siyo mazembe Seema wazembeNaona Yanga wameziba njia zote
Mazembe anacheza kwa Presha
Bado 2-0 mpira haujaisha bado...Mechi hii ni Draw hadi dakika ya 90
Mechi hii ni Draw hadi dakika ya 90
Bado 2-0 mpira unadunda huo...Ni mta mtoa amtoii .
Ni kweli!? Ama ni changamsha genge mkuu!??Naona wanaanza ku negotiate itakuwaje hata mechi haijaisha, jamaa kakataa anasubiri mechi iishe, naona hapa itatokea ngumi ndio itaamua, mke katulia wasiwasi umemjaa sana, tatizo kujulikana unaenda kuliwa wazi wazi wazi, hilo ndio tatizo
Kikubwa tumeshinda bwana hayo mengine hayatuhusuuu,tunaendelea kutafuta wadhamini[emoji23]Hafuzu
Moderator mtu asianzishe uzi kama hawezi kuusimamia kwa kuweka updates. Kuanzisha uzi isiwe sifa, au kutengeneza kijiwe cha soga.Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.
Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.
Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.
Mchezo umeanza
5' Yanga wameanza kwa kasi kubwa wakitafuta goli la mapema
7' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Yanga wanapata goli la kwanza, kupitia kwa Musonda
10' Kasi ya mchezo inaongezeka
13' GOOOOOOOOOOOOOOO
Mudathir anaipatia Yanga goli la pili
16' Mzembe wanaonesha utulivu na kuanza kujipanga
25' Kasi ya mchezo imepungua tofauti na ilivyoanza
30' Yanga wanaonesha uimara wa kuzuia lango lao
38' Mayele anakosa nafasi ya wazi baada ya kuukosa mpira karibu na lango
41' Mazembe wanaendelea kujipanga
45' Mazembe wanapata kona
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
47' Musonda anakaa chini kuonesha ameumia
50' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa
53' Azizi Ki anaingia kuchukua nafasi ya Musonda
54' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa na kuwa kona nyingine
58' Diarra anapangua shuti kali langoni kwake inakuwa kona
66' Anatoka Mudathir anaingia Tuisila Kisinda