FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Alafu hawa jamaa si tuliwapelekea mabasi wakakataa kupanda hawaa?!!,


Et wanaurafiki na makolo nini??walihisi na Sisi tutawarogaa[emoji23][emoji23]
 
Simba jana tulikutana na timu imara..leo naona wanacheza pipa na mfuniko!
 
Naona wanaanza ku negotiate itakuwaje hata mechi haijaisha, jamaa kakataa anasubiri mechi iishe, naona hapa itatokea ngumi ndio itaamua, mke katulia wasiwasi umemjaa sana, tatizo kujulikana unaenda kuliwa wazi wazi wazi, hilo ndio tatizo
Ni kweli!? Ama ni changamsha genge mkuu!??
 
Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.

Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.

Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.

View attachment 2523215
Kikosi cha Yanga

View attachment 2523214
Kikosi cha TP Mazembe​

Mchezo umeanza
5' Yanga wameanza kwa kasi kubwa wakitafuta goli la mapema
7' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Yanga wanapata goli la kwanza, kupitia kwa Musonda
10' Kasi ya mchezo inaongezeka
13' GOOOOOOOOOOOOOOO
Mudathir anaipatia Yanga goli la pili
16' Mzembe wanaonesha utulivu na kuanza kujipanga
25' Kasi ya mchezo imepungua tofauti na ilivyoanza
30' Yanga wanaonesha uimara wa kuzuia lango lao
38' Mayele anakosa nafasi ya wazi baada ya kuukosa mpira karibu na lango
41' Mazembe wanaendelea kujipanga
45' Mazembe wanapata kona
MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
47' Musonda anakaa chini kuonesha ameumia
50' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa
53' Azizi Ki anaingia kuchukua nafasi ya Musonda
54' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa na kuwa kona nyingine
58' Diarra anapangua shuti kali langoni kwake inakuwa kona
66' Anatoka Mudathir anaingia Tuisila Kisinda
Moderator mtu asianzishe uzi kama hawezi kuusimamia kwa kuweka updates. Kuanzisha uzi isiwe sifa, au kutengeneza kijiwe cha soga.
 
Back
Top Bottom