Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo hapa taifa zimejaa teleee unajizolea tuu😂😂😂😂😂 Naomba mbususu basi unifinyie kwa ndani jamani
Nilidhani angepaisha 😂OG TK master.. 😂😂😂
Kumbe wee yanga...aisee leo shem atatafuna hadi miguuu....alafu leo ni goli tatu kwenda juu🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
baba Carleen Mac Alpho usichelewe kurudi nyumbani tafadhali leo kuna zawadi yako...!!
Zile zenu za Jana zimelipwa..!!
Naunga mkono hojahakuna namna TFF anaweza waomba raja tupige nao hata dk 45 tu waone nao moto wa yanga
Huwaga jamaa hana target kweli, anapaishaga sana, ila leo KAIFINYIA NDANI... ha haa😂😂Nilidhani angepaisha 😂
Umesamehewa OnyangoNisamehe Tuisila
Wanapaswa kukubali kuwa yanga sasa wapo vizuri...aisee m15 wamelambaYule aliyesema tumwite naniliu Id yake ni ipi jamani. 😂😂😂
We Foko...umesha fokolewa?Yanga ikishinda mm shoga
Leo kajitahidi, mayele ana presha sana sijui kwanini, mipira mingi kwake inapoteaHuwaga jamaa hana target kweli, anapaishaga sana, ila leo KAIFINYIA NDANI... ha haa😂😂
Update news tunaombea Musonda asiwe na Majeruhi makubwa sana maana Mayele atateseka sana kukosa sapoti ya kufunga magoli.Ila hii Colabo ya Mayele na Musonda nimeielewa, shikamoooooo Nabiii sikupingi tena kwenye maamuzi yako.
shogaYanga ikishinda mm shoga
Ajifunze kutuliaLeo kajitahidi, mayele ana presha sana sijui kwanini, mipira mingi kwake inapotea