FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Yaani katoa tu assist moja (tena ya kubahatisha) kwa Tuisila Kisinda na kufunga goli cha kushangaza yeye (Mayele) ndiyo anawakimbilia mashabiki akijitambia kwa kupigapiga kifua utadhani kafunga yeye hilo goli.

Kama isingekuwa kupenda kwake sifa na kuwa mchoyo leo Yanga SC kupitia yeye (hasa kwa kutoa pasi kwa wenzake) ingeibuka na goli zaidi ya hizi tatu walizomfunga leo TP Mazembe FC Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

Mayele aambiwe ukweli kuwa haichezei jina lake bali anaichezea Klabu ya Yanga iliyomsajili hivyo muhimu ni timu kushinda na siyo Mayele kafunga ngapi au Katetema mara ngapi.

Siku hizi nae kawa mswahili kuliko.
 
Yaani katoa tu Assist Moja ( tena ya Kubahatisha ) kwa Tuisila Kisinda na Kufunga Goli cha Kushangaza Yeye ( Mayele ) ndiyo anawakimbilia Mashabiki akijitambia kwa Kupigapiga Kifua na Manyonyo yake utadhani Kafunga Yeye hilo Goli.

Kama isingekuwa Kupenda Kwake Sifa na kuwa Mchoyo leo Yanga SC kupitia Yeye ( hasa kwa kutoa Pasi ) kwa Wenzake ingeibuka na Goli zaidi ya hizi Tatu walizomfunga leo TP Mazembe FC Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

Mayele aambiwe Ukweli kuwa haichezei Jina lake bali anaichezea Klabu ya Yanga iliyomsajili hivyo Muhimu ni Timu Kushinda na siyo Mayele Kafunga ngapi au Katetema mara ngapi.

Siku hizi nae kawa Mswahili mno.
Sisi wana Yanga hatujakasirika ww unaumia nn? Na hapa ndo lile jina mlilopewa na rage tunaamini mnalistahili
 
Yaani katoa tu Assist Moja ( tena ya Kubahatisha ) kwa Tuisila Kisinda na Kufunga Goli cha Kushangaza Yeye ( Mayele ) ndiyo anawakimbilia Mashabiki akijitambia kwa Kupigapiga Kifua na Manyonyo yake utadhani Kafunga Yeye hilo Goli.

Kama isingekuwa Kupenda Kwake Sifa na kuwa Mchoyo leo Yanga SC kupitia Yeye ( hasa kwa kutoa Pasi ) kwa Wenzake ingeibuka na Goli zaidi ya hizi Tatu walizomfunga leo TP Mazembe FC Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

Mayele aambiwe Ukweli kuwa haichezei Jina lake bali anaichezea Klabu ya Yanga iliyomsajili hivyo Muhimu ni Timu Kushinda na siyo Mayele Kafunga ngapi au Katetema mara ngapi.

Siku hizi nae kawa Mswahili kuliko.
Mkishashiba mnaanza matusi
 
Back
Top Bottom