FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Mkuu, sijakataa kuwa hakuwa mchezaji wa mwisho. Boka alikuwepo ila alikuwa mbali kuweza kumfikia.
Mchezaji wa mwisho wana angalia line.........
Ukichora line hakuwa wa mwisho.

Ila swali langu la Dube unaliruka.
 
Reactions: Tsh
Yanga badala ya kupaki basi wazuie wao wanaleta ubishi wanataka wapishane
 
Mkuu, sijakataa kuwa hakuwa mchezaji wa mwisho. Boka alikuwepo ila alikuwa mbali kuweza kumfikia.
Mchezaji wa mwisho wana angalia line.........
Ukichora line hakuwa wa mwisho.

Ila swali langu la Dube unaliruka.
 
Mchezaji wa mwisho wana angalia line.........
Ukichora line hakuwa wa mwisho.

Ila swali langu la Dube unaliruka.
Dube kwenye mechi ipi? Ilishapita. Tupo kwenye mechi hii. Anyway, ishatokea haina maana tena, mpo pungufu. Tulieni chezeni mpira.
 
Kuna timu inapelekewa moto kocha upara unawaka moto🤣🤣🤣🐸🐸🐸🏃🏃🏃🏃

UBUNTU BOTHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…