joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Uzuri hata hasipo funga anaweza kucreate mtu afunge bila kusahau kusaidia kukaba, kwani Yanga viungo wetu wote wana uwezo wa kufunga.Tafuteni Forward, mpaka muda huu Yanga hawana Forward inayojielewa.!
Mzize mtu wa Papatu Papatu....
Tafuteni Forward, mpaka muda huu Yanga hawana Forward inayojielewa.!
Mzize mtu wa Papatu Papatu....
mki_relax ndo tunawakaza zaidi 🤓Game tunashinda hii ,turelax
Kwenye kibao huwa zinaandikwa dakika tu bila sekunde, ila kwenye kumbukumbu huwa kuna dakika na sekunde kadhaa. Jana muda wa nyongeza ulikuwa dakika sita na sekunde 40, Simba wakapata goli dakika sita na sekunde 20. By the way Mashujaa nao walikuwa na nafasi ya kupata goli katika dakika za nyongeza, na lingekuwa halali...,jana refa kaongeza dk sita,ila mkapata goli dk ya sita na sekunde 20.
Wana Red wangapi?Newcastle vs arsenal
1-0 full time
Bournemouth vs man city
1-0 half time
Liverpool.vs brighton
0-1 half time
Yanga vs azam
0-1 half time
Labda aingie kwa ajili ya jukumu hilo la kukaba ili yasiongezekeHii Mechi akiingia Mzize tunaweza pata Droo hata ushindi, uzuri wa Mzize ana nguvu, speed na anakaba.
Labda aingie kwa ajili ya jukumu hilo la kukaba ili yasiongezekeHii Mechi akiingia Mzize tunaweza pata Droo hata ushindi, uzuri wa Mzize ana nguvu, speed na anakaba.
Angalia wenye goli achana na redWana Red wangapi?
Kwa bahasha tu.Game tunashinda hii ,turelax
Siku hizi wanaonesha na sekunde kumbe? Okay, ila siku zote huwezi kusikia malalamiko kutoka kwa mnufaika. Ila jana refa angemaliza mpira dk ile mnayoenda kupiga kona,leo hapa kungekuwa na malalamiko kwa GSM.Kwenye kibao huwa zinaandikwa dakika tu bila sekunde, ila kwenye kumbukumbu huwa kuna dakika na sekunde kadhaa. Jana muda wa nyongeza ulikuwa dakika sita na sekunde 40, Simba wakapata goli dakika sita na sekunde 20. By the way Mashujaa nao walikuwa na nafasi ya kupata goli katika dakika za nyongeza, na lingekuwa halali
KawaidaMechi ya 9 hii jamaa anapambana lakini hakuna assist wala goli.
OK. Sio kadi nyekundu maana hakuna namna nyingine.Sio mara kwanza ila tukio lile sio kadi nyekundu.
Kwani key source ya goli zenu tano alikuwa nani? Maana Aziz alikuwa anamaliza kazi ya Mzize.Labda aingie kwa ajili ya jukumu hilo la kukaba ili yasiongezeke
Dube ni beki? Au kichwa kinamuumaTafuteni Forward, mpaka muda huu Yanga hawana Forward inayojielewa.!
Mzize mtu wa Papatu Papatu....
Kwamba ukiwa against yanga wewe ni mshabiki wa simba? Ok by the way mimi ni mshabiki wa simba damu kabisa.Acha
Acha kushabikia timu mbovu, simba mbovu.
Angalia ubao first half.Yanga apigeee