princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kwani kavaa jezi ya yanga mkuu?Kwa wazungu wakiona hii clip wanaweza kudhani huyu kibopa ana mwaga petrol kadhamiria kuchoma uwanja.
View attachment 3141703
Huku kwetu ndio tunaelewa kilichokuwa kinafanyika.
Mwamba anaipambania timu yake naye alikuwa anataka kuwa sehemu ya ushindi wa leo ila ndio hivyo.
Ila ndio hivyo isivyo bahati matokeo yamekuja ndivyo sivyo na lawama badala ya kwenda kwa mganga aliyewadanganya eti wanampa refa.
PoleYanga bado ni timu bora,kwa namna Azam ilivyo nilitarajia kama Yanga amepata kadi nyekundu basi Azam ifunge magoli mawili na zaidi.
Ila imeonekana kuwa bado ni wadogo sana kwa Yanga licha ya kushinda.
Pia Yanga mbele panaonekana bado hapapo sawa,wanakosa umakini licha ya kutengeneza nafasi nyingi.
Bado Yanga bingwa licha ya hili.

Simba hawachezi?Yupo sahihi kabisa
Fatigue ni kubwa mno Kwa yanga
Dube kacheza leo?
Simba hawachezi?
Simba hawachezi?
Kama unamaanisha Mbeya City sawa.Yanga na city kwa performance hawana tofauti.
Yanga hii unaifungajeeee......πΆπΆπ΅π΅....Mbona City imefungwa mzee, naomba niache..!!
Manchester city kijana embu usijitoe akili.Kama unamaanisha Mbeya City sawa.
Njoo unywe maji hapa na dinner hapa jirani na uwanja.Nipo nalia hapa Chamazi sina hata nguvu ya kunyanyuka ππππ
Haaahaa π π€£Nani kashinda?
Hapo sasa.
Kashinda Yanga.Nani kashinda?
Hapo sasa.
Netanyahu madamNani kashinda?
Hapo sasa.
Ndio kuna picha nyingine yuko kwenye jukwaa la Yanga.Sikujua kumbe wachawi nao wanafiwa.Kwani kavaa jezi ya yanga mkuu?