FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Wana timu basi?kikundi cha wahuni wanapiga tu mabuti,leo walipata kizunguzungu wale wazee,mpira ukipigwa mtu anaona inakuja miwili anakaba hewa mpira halisi unapita
Halafu wanapenda kulialia sana! Hawana nidhamu na wana dharau sana.

Mfano yule Aucho na Boka na Aziz Ki. Wanahisi refa hawezi kuwafanya chochote. Wanajihisi wako juu kuliko uhalisia.
 
Halafu wanapenda kulialia sana! Hawana nidhamu na wana dharau sana.

Mfano yule Aucho na Bocca. Wanahisi refa hawezi kuwafanya chochote. Wanajihisi wako juu kuliko uhalisia.
Hawa jamaa hawajakutana na marefa serious,kungekuwa na marefa wenye msimamo kama Arajiga wasingekuwa hapo walipo kwenye msimamo,Mudhathir,Aucho,Baka,na Job sikuzote wanafanya fouls mbovu wanaachwa tu,kila mechi Mudhathir na Aucho wanacheza rafu wanaachwa. Wachezaji wengi wa Yanga walishaona wapo juu ya marefa hata Aziz K pia hana nidhamu.
 
Tusingekuwa pungufu tusingefungwa
 
Sawa kaka ndio mpira sijakataa kuna kufunga,kufungwa ama kusare.
Hata Arsenal amefungwa na timu mbovu new castle kwa kumuotea kigoli kimoja.
Ila hao Azam si tutarudiana nao!?
Ndio nitakwambia kwanini nilisema leo wameshinda kwa 'Mungu kapenda'.
Kama ni hivyo, hata Simba ilifungwa na timu mbovu yanga kagoli kamoja tena kwa walishinda kwa 'Kayoko kupenda'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…