FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Azam wakizubaa wanaweza kupoteza mechi au kusare
 
Azam wakizubaa wanaweza kupoteza mechi au kusare
 
Mdomo koma nitarud baada ya dakika 90🤣🤣🤣🤣🤣🐸🐸🐸
Ubuntu BOTHO
 
Beki wa maana aliyebaki hapo ni job tu azam wakipeleka moto mwamnyeto nae kadi yake ipo njiani
 
Alizuia goli

Ni sawa na mtu ambaye akaudaka mpira kwa makusudi kwenye shuti ambalo lilikuwa linaenda kufunga goli.

Mpe goodbye na good riddance Baka
Jamaa kaona nora lawama kuliko fedheha
 
Refa alikuwa sahihi. Baka alimvuta sehemu ambayo ambaye angekuwa mchezaji wa mwisho(Boka) asingeweza kumfikia kama asingemvuta.
Kaka hujaona hata marudio ya move na mtangazi akaongea?

Okay vipi ile ya Dube na nyie nyie.
 
Refa alikuwa sahihi. Baka alimvuta sehemu ambayo ambaye angekuwa mchezaji wa mwisho(Boka) asingeweza kumfikia kama asingemvuta.
Yani chambua uwezavyo ukiwa wa simba tu, hakuna kitu utakua umekosea🤣
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…