Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Jaman nisaidieni mimi nafatiliaga zaidi Ligi la Zimbabwe ila nina swali kidogo.....
Kwanini Yanga ikikutana na Timu zisizodhaminiwa na GSM huwa inateseka sana kupata matokeo ?
Kwanini Yanga ikikutana na Timu zisizodhaminiwa na GSM huwa inateseka sana kupata matokeo ?