FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Sasa Kwakuwa Leo Ni Jumamosi SAFI KABISA 😂😂

AMBAYO IMEZAMINIWA NA Azam NAOMBA NIPATE BIA KADHAA SAFI KABISA...

HALAFU SIJUI KWANINI AZAM HAKUWEKEZA KWENYE BIA ILIPASWA LEO NILEWE NA BIA YA AZAM KABISA 😂🤣🤣😂

Sasa itabidi Nichukue Haya maji ya Uhai Nichanganyie na Konyagi na Hii KVANT ninywe hata SABA
 
Kumradhi! Kuna changamoto kidogo
Oops! We ran into some problems. Please try again later. More error details may be in the browser console.


Jf servers zimezidiwa na comments za mashabiki wa mpira
 
Hiii laana.Afisa habari wao Ali Kamwe akihojiwa baada ya mechi na Singida United akasema"Hii Yanga labda tufungwe na Mwenyezi Mungu".
Ndio matokeo ya kuropoka na kusahau kwamba mpira ni mchezo tu hauna guarantee.
 
Bado YANGA ndio Bingwa....hizi ni Changamoto ndogondogo tu...ila Baba ni Baba
Sawa ndugu, kumbe Yanga ni baba yako? Hata hivyo msijiamini sana nyie Uto. Mpira unadunda. N sasa hivi ligi bado mbichi kabisa. Lolote laweza kutokea, kama lilivyowatokea leo!
 
Bado YANGA ndio Bingwa....hizi ni Changamoto ndogondogo tu...ila Baba ni Baba
Sawa ndugu, kumbe Yanga ni baba yako? Hata hivyo msijiamini sana nyie Uto. Mpira unadunda. Sasa hivi ligi bado mbichi kabisa. Lolote laweza kutokea, kama lilivyowatokea leo!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Woyoooooooooooo! Hatimaye mwana kakua kapata mume!!! 😀😀😀😀😀
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Well done Azam, japokuwa upepo ulikata kipindi cha pili.
Good Job Yanga, wamejitahidi kupambana japokuwa 'Kinyuzi' kimekatwa.

Top perfomance Ahmed Arajiga.
Angekuwa Kayoko ile red card asingetoa angebaki kucheka cheka kama ana kipisi cha mti.

Eti Yanga hii unaifungaje ee, unaifungaje eee..! 😁😁
 
Back
Top Bottom