FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Kikao Cha kabla ya mechi kiliaziamia kuwa DUBE hata akiboronga hawezi kwenda benchi.
Sasa wewe ni nani upange kutoka Kwa DUBE.
 
Madam mzuri nini tatizo mama😅😅😅
 
Alitakiwa atoke Dube, Aziz na Kibabage.
Pacome aliamka baada ya kupigwa moja. Alicheza vizuri Sana.
Upumbavu wa Dube Day ulifanya kocha akomae nae hadi mwisho.
Kila mtu aliona Dube anajinyea tu uwanjani.
Kumtoa Maxi ilikuwa kosa kubwa.
Abuya alipo tolewa angeingia Mkude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…