kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Diara sio wa kulaumiwa, leo chuma zilikuwa zinafika hata 5, amepunguzaIfike muda sasa Diarra apumzishwe. Hee mnamchezesha mtoto wa watu, kama Bot!!!
Kwaherini, ngoja nipumzike kwanza. Maana nitawachamba hao kina Azizi K waone kwanza.
Magoli yale ni ya mabeki, mabeki wa yanga wana tamaa ya kwenda kufunga, kwa kuwa maforward wao hawafungi
Pia kiujumla timu ishapoteana