FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Ifike muda sasa Diarra apumzishwe. Hee mnamchezesha mtoto wa watu, kama Bot!!!
Kwaherini, ngoja nipumzike kwanza. Maana nitawachamba hao kina Azizi K waone kwanza.
Diara sio wa kulaumiwa, leo chuma zilikuwa zinafika hata 5, amepunguza

Magoli yale ni ya mabeki, mabeki wa yanga wana tamaa ya kwenda kufunga, kwa kuwa maforward wao hawafungi

Pia kiujumla timu ishapoteana
 
1000194626.png
 
Mtu mmoja anielekeze sababu za kumfukuza gamondi zilikua ni zipi

Sikua karibu na mitandao ya kijamii kwa muda

Waliibiana mademu ilikuaje aiseee?

I am curious what happened?
Ili iwe nini? Kama unamprnda sana mfuate. Klabu ni kubwa kuliko ntu… haya ndo hiwa maneno yenu leo mnajisahaulisha.
 
Back
Top Bottom