FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

😂😂Hao wamanga Al hilal watu halali, Aliali😂😂😂
 
Mpumelelo jeuri yake kuondoka Azam tena kwa maneno ya shombo ya kuwachafua, Azam ni kama walimpa laana.

Gamondi naye baada ya kufukuzwa kienyeji kawaachia laana.

Ramovic naye waliyemleta huko alikotoka hakuondoka vizuri, Ts Galaxy wakampa laana kuwa atakuwa ni mtu wa vipigo kwenye safari yake huko aendako.

Timu nzima imesheheni watu wenye laana.
 

Pole mkuu, hii ni timu ya Malaika Kutokea Sudani....Hizi timu za Duniani hakuna inayoweza kuifunga Yanga.
 
Lucky Dube Hana tofauti na Manara aliinyea Sana Azam akiihusianisha na Simba. Kwa mchezaji WA Kimataifa hakupaswa kuyasema Yale angesepa kimya kimya🙄
 
Lucky Dube Hana tofauti na Manara aliinyea Sana Azam akiihusianisha na Simba. Kwa mchezaji WA Kimataifa hakupaswa kuyasema Yale angesepa kimya kimya[emoji849]
Wajinga walipewa Script bila kujua kua wanatumika
 
Yanga wamekosa nafasi tisa, wageni wakakosa nafasi moja lakini wakafunga mabao 2. Ni aibu kweli kweli. Inakuwaje Yanga wanakosa mabao ya wazi kirahisi hivyo? Nafasi tisa ni nyingi sana. Inabidi niache ushabiki wa mpira kwani nitapata ugonmjwa wa moyo. Ndugu zango Kolo wamechinja mbuzi nao kusherehekea supu.
 
Pole sana.
Kushabikia Simba au Yanga inahitaji moyo.
Umepoteza Mechi tatu tu presha juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…