Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Achana na mpira kalime.Tunapiga mtu tatu bila
Dubeeee
Kiiiii
Zingeliii
Pacomeeee offside
Utulie weweWewe kinye tulia
Yale mashuti ya Aziz Ki ilikuwa sindano zile sasa wamegutukiwa ndiyo kama vile.Kama huna fitness hata ukiwekea mpira kwenye penalt box lunaweza kosa. Azizi kii umeona mashuti yake? Dhaifu? Linganisha na azizi ki wa msimu uliopita?
Kocha yuko right, no fitness, wachezaji wanapoteza fire mapema sana.
Mabali na ngaiiiiiπππππππ
kasoooongo yeleleleeeeee...π
Wote hao wana nuksiLucky Dube Hana tofauti na Manara aliinyea Sana Azam akiihusianisha na Simba. Kwa mchezaji WA Kimataifa hakupaswa kuyasema Yale angesepa kimya kimyaπ
Mombali na nanga....ππππ
kasoooongo yeleleleeeeee...π
Pole sanaNimesikitishwa sana na kipigo cha leo
[emoji25]
Huyu shabiki kakaa kama taahira. Anaonekana hana akili. Ni wa wapi?Yuwapi Labani og dogo nilimwambia unamdomo mbaya kiko wapiView attachment 3162284
Misso Missondo una hatari, nitakupa daaada..!!ππMombali na nanga....
Kasongo mbona wewo...
ππMabali na ngaiiiiiπππ
πππππ
haichukui nafasi ya daktari..