FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Kama huna fitness hata ukiwekea mpira kwenye penalt box lunaweza kosa. Azizi kii umeona mashuti yake? Dhaifu? Linganisha na azizi ki wa msimu uliopita?

Kocha yuko right, no fitness, wachezaji wanapoteza fire mapema sana.
Yale mashuti ya Aziz Ki ilikuwa sindano zile sasa wamegutukiwa ndiyo kama vile.
 
Dah!nimehuzunika aisee hata kama ni mtani najua mko kwenye hali mbaya ila haya matendo mnayoonyesha hadharani sio poa nikukosa uvumilivu aisee
Mjitathimini.
 
20241126_233713.jpg
 
BREAKING NEWS | Hatimae TS Galaxy ya Afrika Kusini imeshinda mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Afrika Kusini baada ya michezo yote sita chini ya German Machine, Saed Ramovic kupigwa nne na sare michezo miwili.

Leo chini ya Kocha mpya Adnan Beganovic wameshinda 3-1 dhidi ya Shekhukune ambayo ipo nafasi ya sita kwenye PSL, hii pia ni mara ya kwanza kushinda ugenini na kuvuka mabao mawili.
 
Back
Top Bottom