OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama unataka kuomba in favour of Yanga, acha tu,maana utakula kweli. Ila kama in favour of Tabora Utd ya Sudan endelea, hiyo ni ban hewaMkuu niombe ban au niache tuπ
Nataka niombe yanga wabamizwe hawa kenge najisikia kuwachukia tuπππKama unataka kuomba in favour of Yanga, acha tu. Ila kama in favour of Al Hilal endelea, hiyo ni ban hewa
Hawa walisajiliwa kuwafurahisha utopolo vile walikuwa Simba. Baleke, Chama, Mkude, Okra.Nimeona yupo njee ya uwanja anazurura na Ali kamwe
Why baleke?!
Hakuna cha kuwaunga mkono , wapigwe tu hakuna namnaπ€View attachment 3162162
All in all,
Pamoja kua sipendi yanga ila
Kimataifa nawaunga mkono dar young Africans πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ.
Yanga piga hao wasudani.
Moderator yupo anakusoma..Yanga akishinda hii game nipigwe Ban wiki kavu
WEwe ni uto polo waiyo dobidobiMimi ni simba/koro damu ila nawaombea ushindi mabigwa kihistoria wa hapa nyumbani, huu ishindi uwe chachu ya sisi kushinda pia hapo kesho.
Uto wana pressure sana.Aje mkuu nafikiria nilimwe ban kabisaπ€
Tue wazalendo ππππππHakuna cha kuwaunga mkono , wapigwe tu hakuna namnaπ€
Kaa mkao wa kula Leo watatumbia kwann walitufanyiaga fujo kule sudanJidanganye π
Watoke mapema tu mkuu uzalendo na kijani ndio kitu sinaga πTue wazalendo ππππππ
Mkuu π wasogee sogee mpaka robo fainali ndio tuanze kuwaombea Dua mbaya.
Chuki yako haikusaidii tunamchinja msudaniNataka niombe yanga wabamizwe hawa kenge najisikia kuwachukia tuπππ
Usijali mkuu kwasababu kuomba hata hakuna ninae mwomba π π π π πChuki yako haikusaidii tunamchinja msudani