OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama unataka kuomba in favour of Yanga, acha tu,maana utakula kweli. Ila kama in favour of Tabora Utd ya Sudan endelea, hiyo ni ban hewaMkuu niombe ban au niache tu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka kuomba in favour of Yanga, acha tu,maana utakula kweli. Ila kama in favour of Tabora Utd ya Sudan endelea, hiyo ni ban hewaMkuu niombe ban au niache tu😂
Nataka niombe yanga wabamizwe hawa kenge najisikia kuwachukia tu😂😂😂Kama unataka kuomba in favour of Yanga, acha tu. Ila kama in favour of Al Hilal endelea, hiyo ni ban hewa
Hawa walisajiliwa kuwafurahisha utopolo vile walikuwa Simba. Baleke, Chama, Mkude, Okra.Nimeona yupo njee ya uwanja anazurura na Ali kamwe
Why baleke?!
Hakuna cha kuwaunga mkono , wapigwe tu hakuna namna🤗View attachment 3162162
All in all,
Pamoja kua sipendi yanga ila
Kimataifa nawaunga mkono dar young Africans 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Yanga piga hao wasudani.
Moderator yupo anakusoma..Yanga akishinda hii game nipigwe Ban wiki kavu
WEwe ni uto polo waiyo dobidobiMimi ni simba/koro damu ila nawaombea ushindi mabigwa kihistoria wa hapa nyumbani, huu ishindi uwe chachu ya sisi kushinda pia hapo kesho.
Uto wana pressure sana.Aje mkuu nafikiria nilimwe ban kabisa🤔
Tue wazalendo 🏃🏃🏃🏃🏃🏃Hakuna cha kuwaunga mkono , wapigwe tu hakuna namna🤗
Kaa mkao wa kula Leo watatumbia kwann walitufanyiaga fujo kule sudanJidanganye 😅
Watoke mapema tu mkuu uzalendo na kijani ndio kitu sinaga 😂Tue wazalendo 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Mkuu 😊 wasogee sogee mpaka robo fainali ndio tuanze kuwaombea Dua mbaya.
Chuki yako haikusaidii tunamchinja msudaniNataka niombe yanga wabamizwe hawa kenge najisikia kuwachukia tu😂😂😂
Usijali mkuu kwasababu kuomba hata hakuna ninae mwomba 😅😅😅😅😅Chuki yako haikusaidii tunamchinja msudani