FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Naamini katika uhalisia,aliejiandaa vzr atashinda,ushabiki oya oya sipendi,nimepiga makofi jamaa walivotupiga coz ndo uhalisia tumefungwa goli zuri.....tukajipange vzr, tulipigwa 3 na kolozidad, tukawapiga 4....home, wake up call young.A C.next match do a ting.
 
Ila hawa wasnge wanadharau sana

Mechi yetu ya kirafiki tuliocheza nao walimia na haikuwa na chochote wanacho gain.

Kuna muda walianza hadi kulala kupoteza muda mpaka nikajiuliza hawa majamaa hivi wanajua kuwa hii ni friendly match??

Angalia kinachotokea leo

Wakati wengi wakitazamia kuona Al Hilal anarudi nyuma na kuzuia kwasababu tayari amepata bao la kuongoza lakini bado vijana wanashambulia.

Wakati wengine tukiwaza pengine baada ya Al Hilal kupata bao la kuongoza tulitegemea kuona wakipoteza muda kwa kujilaza lakini hali imekuwa tofauti.

Jamaa wanapata nafasi ya wazi kufunga bao la pili lakini wanarudisha mpira nyuma.

Hizi ni dharau.
Hakika
 
Back
Top Bottom