FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

Kila la heri timu ya Wananchi Young Africans. 💛💚

Muhimu tu mhakikishe leo mnayamaliza kabiss mazoea ya hii timu ya JKT dhidi yenu. Wapigeni goli za kutosha kama mlivyofanya kwa Tabora United.
 
Utaambiwa uwanja wa mkwakwani ulikuwa kwenye matengenezo wakati pitch nzima imejaa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…